Makapuku Forum

Walishawahi ilikuwa mwaka 2014 mwanzoni walikuja na gari wanataka kuku Idadi kubwa kisha wakadai pesa haitoshi hivyo tupunguze baadhi, hapo ndipo tulipotapeliwa ni kama kiini macho hivi
Pole,pia ukiwaruhusu kuhesabu wanbeba hata wanne wanne na huoni,wakikulipa ukibaki kuhesabu huna kuku,ni bpra ukawa una wahamishia pengine ndio mhesabu idadi wanayohitaji,wanaviini macho sana,tuombee sana kazi za mikono yetu washindwe kuingia na nguvu zao
 
Hakika kabisa, ukiona vichwa Sita aliivyobeba, kumbe vipo kumi wewe hujui
 
Unapokea sms kutoka Kwa Mpenzi Wako Anakwambi Kuanzia Leo Mimi Na Wewe Basi[emoji18][emoji18]
Unastuka Unamuuliza Kulikoni Anakujibu Samahani Sms Sio Yako[emoji15][emoji15]
Asee Hapo Ndo

Utagundua Kwanini Hakuna Mmasai Albino [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…