Inategemea na maeneo kama upo karibu na mashine za kusaga hizi au vijijini ni rahisi kuwafuga bila gharama kubwa.Sawa mkuu ila nimeona kuwafuga ndani ya uzio ni ni ngumu sana na garama zinakuwa kubwa
Ila yeye alisema ni MndaliSawa ila kama alikuwa anapitia mpemba sio mndali Huyo atakuwa mlambya
Asante kwa elimu hii mkuu huku soko hamna mpaka waje wa mjini ndo angalau inaweza kuona kuku wanaleta faidaInategemea na maeneo kama upo karibu na mashine za kusaga hizi au vijijini ni rahisi kuwafuga bila gharama kubwa.
Mjini kuna chakula kinauzwa kama 35k kina ujazo wa 25kg kinaitwa Concentrate sharti ni lazima ukichanganye na debe saba za Pumba. Ila ukiamua unaweza maana soko Lake ni kwenye mahoteli makubwa
Nahamia.....huko kwetu North Korea sikuamini!Karibu unahamia au unapita tu?
Karibu makapukuHodiii
Sawa karibu mkuuNahamia.....huko kwetu North Korea sikuamini!
Ahsante!!!Karibu makapuku
Harafu ukataka ku.. , ukaogopaIla yeye alisema ni Mndali
Sikumhoji sana maana mkataba aliingia na mzazi
Ahsante......ngoja nianze na kazi iliyoniletaSawa karibu mkuu
Sawa mkuu inawezekana alikuwa mndali ila hakujua njia nzuri ya kupita anavyo enda kwao na ndo maana ilikuwa inamlazimu akazunguke mpembaIla yeye alisema ni Mndali
Sikumhoji sana maana mkataba aliingia na mzazi
Karibu, hapa swaga zote ruksa, toa like upate likeNahamia.....huko kwetu North Korea sikuamini!
Kumbe kuna kazi iliyo kuletaAhsante......ngoja nianze na kazi iliyonileta
Karibu, hapa swaga zote ruksa, toa like upate like
Karibu makapuku hutajuta
Teh Teh Teh.........ndio!!!Kumbe kuna kazi iliyo kuleta
Sawa kazi kwakoTeh Teh Teh.........ndio!!!
Twende pamoja tuahsante,,, natamani kuchangia mada ila ipo katikati ya mapaja
Wala usiogopeMmh mbona unanitisha shemela
Yamekwisha Shemela wa ukwelihahahhah nisamehe tu shem wangu
KaribuHodiii