Mkuu jumamosi na jumapili huwa napumzika tu sipost mambo ya kuumiza kichwa (Top 10 au mambo usiyoyajua kuhusu...)
Zaidi napost tu simple simple
Tukutane J3 jioni/usiku
.......
Walishawahi ilikuwa mwaka 2014 mwanzoni walikuja na gari wanataka kuku Idadi kubwa kisha wakadai pesa haitoshi hivyo tupunguze baadhi, hapo ndipo tulipotapeliwa ni kama kiini macho hivi