Makapuku Forum

Makapuku Forum

1c24828894846cd51900c198ea9afa8b.jpg
63b167d89c205f15e9db0be9d5366d5f.jpg
ccc2069165739d9ae37bca90af36d178.jpg

Ya Chibu nasikia yana harufu ya Madame
...
Laki moja na kitu, wakati sembe tu inatushinda kununua huku kwetu.
 
Kasaidiaa sana Chelsea

Nilikuwa najiuliza mganga wake alimpata wapi make zile transfer window zilikuwa hazimsumbui
Ni kama ambavyo Fabio Coentrao anavyokula pesa ya bure Madrid na kila Dirisha la usajili likifika wala hajali.

Ila wanasema urafiki wake na Ronaldo ndio unamfanya mabosi wa Madrid wasimuuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom