Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Leo Katika Historia:
Niwatakie J'mosi njema.
Niwatakie J'mosi njema.
1977 - Mark Van Bommel anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Barcelona, Bayern Munich, PSV na timu ya taifa ya Uholanzi.
Ndie kepteni wa kwanza wa Bayern Munich ambaye sio Mjerumani.
Hii inatakiwa ije Tanzania.
1982 - Ricardo Kaka anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Ac Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007.
1987 - David Luiz anazaliwa.
Beki wa zamani waBenfica, PSG, anayekipiga Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.
Kiukweli mwak-mango Siku hizi anajishushia heshima kinomaaMwakyembe mnafiki sana anatuaibisha Wanyaki
Asante kwa magazeti
....
Beki mmoja anayenyumbulika vizuri sio kwa club tu ata national team ..ila napenda akiwa anacheza namba 61987 - David Luiz anazaliwa.
Beki wa zamani waBenfica, PSG, anayekipiga Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.
Kizazi cha gold enzi zao1982 - Ricardo Kaka anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Ac Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007.
1987 - John Obi Mikel anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Nigeria.
Kwasasa anakipiga katika ligi ya China.
Kasaidiaa sana Chelsea1987 - John Obi Mikel anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Nigeria.
Kwasasa anakipiga katika ligi ya China.
Asante kiongoziLeo Katika Historia:
Niwatakie J'mosi njema.
1994 - Richard Nixon anafariki Dunia.
Rais wa zamani wa Marekani ambaye alitoka madarakani kwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya Watergate.
2014 - David Moyes anafukuzwa kazi katika klabu ya Man Utd.
Kweli![]()
Kipindi cha Mourinho amekula pesa za bure alikuwa anafanya kazi dk 5 tu za mwisho kwenda kupaki basi uwanjani![]()
....

Leo umewahiLeo Katika Historia:
Niwatakie J'mosi njema.
Mchezaji bora wa Siku zote wa kocha wenu ...waga hamuangushii![]()
ndo aliyetuletea Fellaini![]()
....
Morning mkuuMorning family
SawaMkuu ni zaidi ya ikolomije
Aksante mkuu
