Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1938 - Issey Miyake anazaliwa.

Ni mfanyabiashara wa Kijapan ambaye pia anauza manukato/ pafyumu za Issey Miyake.

1987 - David Luiz anazaliwa.

Beki wa zamani waBenfica, PSG, anayekipiga Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.

1982 - Ricardo Kaka anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Ac Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.

Mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007.

1977 - Mark Van Bommel anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Barcelona, Bayern Munich, PSV na timu ya taifa ya Uholanzi.

Ndie kepteni wa kwanza wa Bayern Munich ambaye sio Mjerumani.
Mkuu ahsante sana kwa information
 
Noted
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…