Makapuku Forum

7/Nigeria

Hawa matapeli maarufu wa Afrika Magharibi ndo vinara kwa Bara la Afrika wako takribani Milioni mia moja tisini na moja na laki name{191,800,000)
Hawa jamaa ni wapambanaji kimaisha idadi yao wanazamia huko Ulaya na wanetapakaa pia sehemu nyingi duniani
....
 
6/Pakistan
Huku ndo sehemu ambao Osama Bin Laden aliuawa na Wamarekani . licha ya kutawaliwa na vurugu na Mauaji lakini jamaa hawapungui tu
Wapo takribani Milioni mia moja tisini na sita na laki saba{191,700,000)
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…