Makapuku Forum

Wazo jema Sana
 
Mkuu umenigusa vibaya... Mungu akubaliki
 
Nikiamka ndo kitu cha kwanza
Sema nakutana na mastori mengi hivyo nasomaga kimyakimya maana maana nakuta hakuna sehemu ya "kupumulia"
........
Sawa mkuu ila magazeti huwa yanawahi kabla ya mastori ya jukwaani ...asubh tunajitahd utan sio sana

Leo ndo nimeona quote yako kwa Gazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…