Pamoja bhinamu
Sema umetusahau ...nyuzì ziongee bhinamu
Kwenye suala la nyuzi, najaribu kuangalia muda muafaka ambao hauingilii Magazeti, Fun Facts, na Historia hizi ni segment muhimu. Leo nitamrusha gwiji mmoja tena wa Afrika Magharibi
asante vp kwema??Kalibu mkuu
Itakuwa vizuri sanaKwenye suala la nyuzi, najaribu kuangalia muda muafaka ambao hauingilii Magazeti, Fun Facts, na Historia hizi ni segment muhimu. Leo nitamrusha gwiji mmoja tena wa Afrika Magharibi
Hahahahahah sio mnyapio mnyapio mkuu acha tu naandamwa hata na majirani si unajua wa god's servants tunapigwa vita sanaOhh baba paroko
Nilijua ni mnyapio
Piga kazi baba paroko
the body guard
Aminiaa jombaaAise ni njema kabisa mitikasi ndo tunakomaa nayo
Kazinduka usingiziniNina imani umemkosea wa kumquote, nilichoandika hakihusiani na ulichotupia hapa
YapAminiaa jombaa
Nakutania mkuu, valentina ni wa ray, mimi nalazimisha tu awe wangu, mimi simwezi anataka sadaka zote kahI have tried to know who posses that girl
Now i find it naeshimu kila couple ya humu jf
Thanks to know it
Nabariki hilo mkuu, hata mimi ni mwanachama wa hilo, sitaki demu by juma nature dedication hiyoBREAKING NEWS
Jamani Mimi natangaza rasimi sitaki demu wala mchumba nahitaji kuishi mimi kama mimi na malafiki tu...... Maisha ya kukaa naangaliwa nakosa uhuru siyataki kabsa.... najipenda zaidi kwahiyo naona upendo nilio nao nwenyewe haunitoshi.... Nikiweza kujitosheleza upendo basi nitamfatafta mwenza!!!!!
mkubhi 2017
Nakutania mkuu, valentina ni wa ray, mimi nalazimisha tu awe wangu, mimi simwezi anataka sadaka zote kah
Kipenziii Leo mbona umechelewaaNgoja niwahi biashara zangu maana muda ni mali
Mkuu umeona ushindani wa spurs na Chelsea ulivyo ...??? Wachezaji 8 hatari
Swahiiiiiiiba naije mtu wangu,kweli huku raha sana huku hata ka Emoji kanagongwa like haaaa,haaaa kule kwenye Siasa huwa wanavunga wako deep kumbe wengi pumba tu
Hahahahaaa undeni KAWATENabariki hilo mkuu, hata mimi ni mwanachama wa hilo, sitaki demu by juma nature dedication hiyo
Kumekucha mkuu, habari za asubuhi, ahsante kwa updates za newspaperWakuu kumekuchaa salama tumshukuru aliye juu
Magazeti ya Leo