Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unataka ugongwe likes ngapi? , sisi sio wachoyo wa likes kama jukwaa la siasa eti mtu mpaka uongee point ndiyo unagongwa like, huku ukisema hata SiTAKI tu basi likes zakuminina
kweli huku raha sana huku hata ka Emoji kanagongwa like haaaa,haaaa kule kwenye Siasa huwa wanavunga wako deep kumbe wengi pumba tu
 
Vizur ndugu soonest namimi nakuja huko huko
Some times its better to stay alone

Sie bado wabichi tusijekufa kwa presha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jufa utachelewa ila usimfanye mwanamke kuwa kila kitu kwako hapo atakuwa amechukua uhuru wako wote!!!
 
Back
Top Bottom