Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
hahahahaUnatamani kujiteka
hahahahaUnatamani kujiteka
Wewe ndo kivuruge baba paroko
Kuwa na heshima acha dharauSijuwi umekula maharage gani![]()
2/ZimbabweAkina Thabami Kamusoko na Donald Ngoma wapo nafasi ya pili.Pato la Taifa la Zimbabwe ni USD 590![]()
chanzo kikuu cha kuporomoka kwao ni vikwazo alivyowekewa Komredi Mugabe na nchi za Magharibi pia ushiriki wake kwenye Vita vya Congo DR
Siku za karibuni waneanza kurudi kwenye Barter Trade Unaweza kulipa ada ya shule kwa kukabidhi tu mbuzi wako
....

Si umesema unalala na mdogo wako kakufataMmmmh
Bado hujasikua Serikali ya Zimbabwe imeruhusu kulipa ada kwa kutumia mifugo na hata kwa kufanya kazi tu shuleni mfano use unafagia tu madarasa
Usingizi umepaaSi umesema unalala na mdogo wako kakufata
AhaaaaahBado hujasikua Serikali ya Zimbabwe imeruhusu kulipa ada kwa kutumia mifugo na hata kwa kufanya kazi tu shuleni mfano use unafagia tu madarasa
Wana hali mbaya
........
Kanuna nini sasaUsingizi umepaa
Ila siko humu kf napita mitaa mingine..
Mdogo wangu kanuna ujue
Ndo maana wengi wana saloon manzeseJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo![]()
Hawa akina Papaa ndo vinara wa umaskini duniani pato lao ni USD 395 japo hupenda kujionesha kwa mapigo ya pamba ni matapeli tu
Mji mkuu wa Kinshasa una watu takribani Milioni 10...chanzo kikuu cha umaskini wao ni vita na migogoro ya kisiasa isiyoisha
Mwisho
............
TumekumisZa jioni
Matapeli wakubwaNdo maana wengi wana saloon manzese
Kumshika hivo inamaanisha nini aise!?!?Mkuu habari, naomba picha hii![]()
![]()
Mkuu ebhu gonga 5 aka faiiivuuuMatapeli wakubwa
Kanuni # 1 ya mtu tapeli ni "usmart"
Pia wanatuchapia sana Dada zetu
....
Nzr aise... Za weweZa jioni
Mimi pia nmekukumbukaTumekumis
SafiNzr aise... Za wewe
Hapana mimi sio mgeni humu makapukuNaulizaga we ni mgeni humu makapuku