Makapuku Forum

Unaelekeza vizuri lakini hua inajenga picha mbaya kwa muelekezwaji labda ni mm tu ndio naona..
Hebu fuatilia Faizafox anavyo elekeza watu kwa kuwakebehi..
Yamekuwa hayo mkuu?
Sorry km mmetafsiri vibaya
Tusiyakuze
One Love
............
 
Mhuuuu mm sina sifa ya kutafutwa na mrembo kama huyo..
Hua ananipigia kimya..
Una pesa??? Yeye valentina anataka njemba zenye pesa, mimi nilikupigia pande toka huko page ya nyuma akawa anakuulizia hilo ndiyo tatizo la ku-skip pages
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…