Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Baba paroko onyesha ukarimu kwa kondoo zako... EbooAku mwambie mwenyewe
Baba paroko onyesha ukarimu kwa kondoo zako... EbooAku mwambie mwenyewe
Naanzaje kujiogopa kwa mfano?Ahaaaaah mbona unajiogopaa
Basi fanya kunigawia yakheempaka najiogopa yan
Nitajisaidia mimi mwenyeweBaba paroko onyesha ukarimu kwa kondoo zako... Eboo
Wewe ndo kivuruge baba parokoAcha kuvuruga ndoa za wenzako, wewe huna mume halafu unataka wenzako waachane
Uchumi wao unategemea nini kule?Burundi![]()
Hawa jirani ni maskini jamani..usijiulize kwanini wanazamia Kigoma
Pato lao ni USD 684...Wana hali mbaya kielimu. miundominu na afya
Wanasumbuliwa na vita visivyoisha .Mauaji ya Rais wao pamoja na wa Rwanda wakitokea Dar wakiwa kwenye ndege moja ndo chanzo cha Mauaji ya Kimbari huko Rwanda 1994
87% wanaishi vijijini huko yaani waporipori km Ngedere
......
Valentina![]()

Sasa huo ubinafsiNitajisaidia mimi mwenyewe
tugaiyane yakheeBasi fanya kunigawia yakhee
Mkuu ubize tu nitakujaSawa sawa chief jukwaa la jokes umehama kabisa
Dada mkubwa upo!
JikokiiNa nikivutaa wayaaaa... Ujuwe nimeshajikoki...
Unatamani kujitekampaka najiogopa yan
MmmmhSema saa nyingine unajifanya kichaaa ila tunakupendaaaa
Sijuwi umekula maharage ganiBurundi![]()
Hawa jirani ni maskini jamani..usijiulize kwanini wanazamia Kigoma
Pato lao ni USD 684...Wana hali mbaya kielimu. miundominu na afya
Wanasumbuliwa na vita visivyoisha .Mauaji ya Rais wao pamoja na wa Rwanda wakitokea Dar wakiwa kwenye ndege moja ndo chanzo cha Mauaji ya Kimbari huko Rwanda 1994
87% wanaishi vijijini huko yaani waporipori km Ngedere
......

Acha kuvuruga ndoa za wenzako, wewe huna mume halafu unataka wenzako waachane

Twendee sasa ...Naanzaje kujiogopa kwa mfano?
Madenge on fleak2/ZimbabweAkina Thabami Kamusoko na Donald Ngoma wapo nafasi ya pili.Pato la Taifa la Zimbabwe ni USD 590![]()
chanzo kikuu cha kuporomoka kwao ni vikwazo alivyowekewa Komredi Mugabe na nchi za Magharibi pia ushiriki wake kwenye Vita vya Congo DR
Siku za karibuni waneanza kurudi kwenye Barter Trade Unaweza kulipa ada ya shule kwa kukabidhi tu mbuzi wako
....