Makapuku Forum

Makapuku Forum

Basi baki na hamu zako
Nimebaki nazo, nitagonga neno hata genye sipati
7fb8340509635c82fa61c0e07aad6720.jpg
 
Burundi
f3fc25d939b20662acece31481955462.jpg

Hawa jirani ni maskini jamani..usijiulize kwanini wanazamia KigomaKipato chao ni USD 684...Wana hali mbaya kielimu. miundominu na afya
Wanasumbuliwa na vita visivyoisha .Mauaji ya Rais wao pamoja na wa Rwanda wakitokea Dar wakiwa kwenye ndege moja ndo chanzo cha Mauaji ya Kimbari huko Rwanda 1994
87% wanaishi vijijini huko yaani waporipori km Ngedere
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom