Burundi
Hawa jirani ni maskini jamani..usijiulize kwanini wanazamia KigomaKipato chao ni USD 684...Wana hali mbaya kielimu. miundominu na afya
Wanasumbuliwa na vita visivyoisha .Mauaji ya Rais wao pamoja na wa Rwanda wakitokea Dar wakiwa kwenye ndege moja ndo chanzo cha Mauaji ya Kimbari huko Rwanda 1994
87% wanaishi vijijini huko yaani waporipori km Ngedere
......