Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Nini tenaIla wewe...
Nini tenaIla wewe...
Ooooook wala usijaliime nimeuliza tu
Sema [emoji4] [emoji4][emoji85] [emoji85] [emoji85]
mwenye mali nipo usitake kubadilisha gear angani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndo basi tena yaniKwa hiyo ....
Naku......Sema [emoji4] [emoji4]
AiseeeeNaku......
Ebhu muache aseme alilonalomwenye mali nipo usitake kubadilisha gear angani
ameshasema anaku nini sijuiEbhu muache aseme alilonalo
Tayari nimekaa pembeni, naomba upite wasalimie wakina ray najua ray ndiyo atakufaaHa haa basi kaa pembeni
[emoji4] [emoji4] ebhuuu maliziaaaNaku......
Uko makiniAiseeee
usiku mwema[emoji4] [emoji4] ebhuuu maliziaaa
Sahivi am free, alininyima usingizi huyu binti sahivi naweza lala sasa ameshaomba nimpishe, sasa ni kugonga neno la bwana nitaeneza injili bila mke, yani alitaka sadaka ahh kagusa pabayaMkuu huyu mama paroko atatutoaa roho
[emoji23] [emoji23]Tayari nimekaa pembeni, naomba upite wasalimie wakina ray najua ray ndiyo atakufaa
Nawe pia ulale salama, salimia familiaAfadhali kama umeupata mdogo wangu...
Haya mambo ya kuunga unga nilikuwa na wasi wasi mjeda asingeweza....
Jamaniiii, mlale salama wote
Baba paroko alifunga na kuomba ujuewe baba paroko haya mambo ya kuomba kukuwadiwa umeona vale anachotaka kufanya
lee hayo mambo sitaki tena mtu anampenda mtu acha aangaike nae mwenyewe