Makapuku Forum

You always go overboard Madenge na hizi generalization zako. Wazungu wasio na habari na makanisa pengine huko Ulaya. Marekani utashangaa. Kila baada ya nyumba tano kuna kanisa na yote Jumapili yanajaa watu. Kitu pekee kilichonishangaza US ni kuhusu Wasabato. Nilikuwa nadhani kwa vile ndo kwa mwanzilishi wao huko watakuwa na influence kumbe hakuna and nobody takes them seriously. Lakini huku kwetu wengine hata nyama hawali na wanafikia mpaka kwenda airport bila visa wakitegemea maajabu ya Mungu...
 
Mambo ya kiimani epuka mkanganyiko usio na maana amini lile unalo amini chief full STOP
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…