Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Mmmwaaaahmxxiuue
Mmmwaaaahmxxiuue
Eeehnataka Mr T
Mkuu mambo yako jikoni tatzo umeskip page ....pitia mojamojaaAhadi ni deni, mrejesho wa kazi niliyokuagiza tafadhali
TuheshimianeShkamoo baby
Really ahhhhhh acha utani banah teh teh teh page namba ngapi nirudi kusoma, ila najua kama kweli ningepokelewa kwa makofi na shangwe maana valentina amenisumbua kichwa hizi siku mbili tatu kila mtu anajuaNumbering eeh
Vale kakukubali, rudi ukasome hukooo
Mkuu unachotaka utakipataShkamoo shem _darling
sawa papa paroko nitamkumbusha au kuna kingineAnajua wewe mkumbushie
marahaba shem Snipes za wwShkamoo shem _darling
na ww ndio unaombeaga hivyo kanisan kwakoTeh teh teh ehhhhhh kuna mapepo yamo kwenye private sector [emoji23] [emoji23]
Nini tena mkuu, unanitisha kuna jambo limenipita zaidi ya magazeti, quotes binafsi najua valentina hataki kazi za kichungaji ndiyo maana hanitaki na hatoi jibuKiboooookoooo
Salama salama chieftunashukuru mungu kwa kupata siku nyingne, habari yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kah, plz if u dont mind page namba ngapi nienda sahivi nikapate ushuhudaMkuu mambo yako jikoni tatzo umeskip page ....pitia mojamojaa
UkooSalama salama chief
nakupenda lee wangu [emoji8] [emoji8] kila siku inayoitwa leo nazidi tu kukupendaaBaby nsharudì ...
I know how much unanimis
Nakupendaa shunie
Kivuruge wangu
ndio mana ukaitwa baba paroko [emoji122]Mambo ya kiimani epuka mkanganyiko usio na maana amini lile unalo amini chief full STOP
Hapana mimi huwa sipapasi hivyo mbona Mungu atanipa anguko kubwa, sitakuja muombea mtu kwa kumtomasa kahhhhh[emoji16] [emoji16]na ww ndio unaombeaga hivyo kanisan kwako
Nakupenda pia jaman nikikutoa outing bas usinifanyie kama aliyofanyiwa miss natafuta dada [emoji23]Nakupenda
Kasome hukoo sasaReally ahhhhhh acha utani banah teh teh teh page namba ngapi nirudi kusoma, ila najua kama kweli ningepokelewa kwa makofi na shangwe maana valentina amenisumbua kichwa hizi siku mbili tatu kila mtu anajua
hilo ni kiss auMmmwaaaah
ameniuliza sitaki kama ww n mtto ndio nimemjibEeeh