Makapuku Forum

Amina amina mama mchungaji nachokupendea umesimama kiimani, Mungu azidi kukupa hekima na utashi daima, salimia familia na ulale salama nawafunika kwa damu ya yesu kristo wa Nazareti amina
 
Sasa naanzaje kusema yes wakati sijaelewa bado?

We huyo Bashite wako ulienifanqnisha nae mwambie akutaftie mke
Bashite ameleta shida gani tena kwa valentina, jamani huyu mtu mwenye ili jina ajitokeze hawezi vuruga mambo ya watu namna hii kitaifa, kimkoa, kiwilaya, kitarafa, kijiji, kikata na sasa kifamilia nimemkosa valentina kisa eti anasema bashite sio mtu wakufananisha nae nimekoma, sasa valentina wewe kiroho ni baby wangu ila kimwili ni shemeji
 
Hahahaaaa!


Naona umeamua kuwapa za uso kabisa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…