Koromije inanyamazishwa na mkweche wa angani wa Gwajima tu na si vinginevyo. Watu wenyewe ikifika usiku wanageuka tigers tena waje wanyamazishwe na tigers mwenzao? Chezea kwingine siyo Koromije tena ukome!
Hahahaha yani leee wewe ni kama Ronaldinho unajua kucheza na mipira ya kati, mipira iliyo kufa, mipira yote yani we mkali sana middle moja hatari, endelea kugonga pass za kufa mtu, kuna zawadi inakuja ila tushinde kwanza.
Sio mtu wa mbwembwe za mapenzi
Hivyo sinaga sana stori za mapenzi......hata km kuna kapuku yupo hapahapa natembea nae hamuwezi kujua
I'm silent killer
...............