Makapuku Forum

huko panafaa kufugia n'gombe maana magari hakuna
Yapo mkuu
Yaani mabasi ya abiria serikali ndo inahusika kuwasafirisha
Mfano juzijuzi wananchi 600000 wamehamishwa kutoka mji mkuu kujiandaa kwa vita

Faida yake ni kwamba nchi haina nsongamano wa magari na uharibifu wa mazingira(air pollution + makelele)
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…