Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mmmmhanakudekea tu amekuona
Mdogo wangu
Mmmmhanakudekea tu amekuona
ata kama nipo bize na lee si tunachat na ww au unadeka tuWe si uko bize na Lee
simtetei sbbu namjua ila sio mgeni kwakoLeo kazidi, acha kumtetea
Mwache kwanza atoke Mbeya..Sema ukweli, mlinzi nae kanikimbia
Hahahaila wana moyo sijui inakuaje kuaje
hakuna namna dekeaneni tuHaki yake kudeka..
Mkuu hakuna kabint kakwenda kulala nae uko ?Kuna nyumba ya mgeni nje...
Calm down...! Take a breathMmmmh
Mdogo wangu
Feel like call your name each secondsAnything my love?
okayIf you believe this.. You will believe anything.
kwahiyo haudekiMmmmh
Mdogo wangu
Tutasutwa sii kidogohahahhhhh![]()
nimemiss umbea ujue siku tutasutwa mtu na ndg yake
Tukianza kuitana hapa hapa tunaweka kuongeza text kama 2kFeel like call your name each seconds
hahahhh ndio dege dege la ukubwani ulilolisemaMkuu hakuna kabint kakwenda kulala nae uko ?
maana huwa nakaugonjwa kakustuka stuka usiku hasa nikilala peke yangu
madaktar wamenishauri nisilale usiku peke yangu
HeheheHaki yake kudeka..
Nahisi tuko wawili tuu kwenye hii dunia hubieMore loves!![]()
hahahhh ila si tuna wanaume watatuteteaTutasutwa sii kidogo
Akaaata kama nipo bize na lee si tunachat na ww au unadeka tu