Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Husna yuko wapiDada stunter akupe salam za husna utacheka
Husna yuko wapiDada stunter akupe salam za husna utacheka
Oyeee mzima mkuuMakapuku oyeeee
Nyie waumini wangu wewe na Sakayo mna visiri sana, msije mkatoa siri za kanisa langu,usiniambie unasema nakusingizia kumbuka zile simu za majonzi
Toka hapaNdio ila mwezi ujao nafikisha 18
Karibu wenyeji wako jikonHodii
Yap akanogewa matokeo yake wakamkamata.Zen akajisahau
![]()
![]()
![]()
.....
Kwa hiyo umefunga shule ??Ndio ila mwezi ujao nafikisha 18
Niende wapi sakayo? Mi mtotoAkwendwee huko
Hapa shwariiiii, basi good goodOyeeeee
Huyu ukitaka kumpata kuleee jukwa pendwampk stunter umekuja kututembelea
Tayari yupo kwenye umri ambao kifo hakiepukiki hivyo siku yoyote ataingizwa kwenye sanduku na kutupwa shimoni ndo utakuwa mwisho wa utawala wake ZimbabweAiseee na sisi leo ndio tungekuwa na Nyerere mpk leo
Kama kawa chief, lete habari, viporo vya jana vimebaki tugonge na chaiOyeee mzima mkuu
Unajua nakuheshimu sanaNiende wapi sakayo? Mi mtoto
Uje nakukaribisha sana na hivi nimekumiss muumini wangu, si unajua muda mzuri wa maombi ni late night pale utulivu unapotandaHahaha
Baba paroko, nahitaji maombi
Ongea na muumini wako shunie vizuri nahisi kiporo cha tangu juzi kipo mkuuKama kawa chief, lete habari, viporo vya jana vimebaki tugonge na chai
Mkuu unanifukuzia wapi tenaToka hapa
Uje nakukaribisha sana na hivi nimekumiss muumini wangu, si unajua muda mzuri wa maombi ni late night pale utulivu unapotanda
unataka kumpa maji ya barakaHahahaha mtukutu wewe, ibada za jana sijakuona, mwambie mume wako sio tabua njema kukataza kuja Churchoyeeeeeee baba paroko
Sio kufunga shule nimehitimuKwa hiyo umefunga shule ??
hahahha zile simu acha tuHahaha
Umejuaje kunifanya nicheke
Ujue Nakupenda