Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
We baki huko tuu, tutapata wapi mazao wa mjiniMwambie paroko nahitaji maombi nihame kijijini nije mjini maana naona mjini fursa nyingi sana
anifaidi wapiii mmVipii muumini wako shunie hujamfaidii ??
sio hasira we si mtto jamanMbona una hasira za mapema shunie paroko hajakuombea
HeheheAta mengine najifanya sisomii
sijawahi kwenda mm kanisan kwakeEtii na wewe unaendaga
Akha kamrembo nako kamooooo aiseeeeeh balozi![]()
"We Spika acha ufala" ktk ubora wake
![]()
![]()
![]()
.....
Nimependa hizo headphones![]()
"We Spika acha ufala" ktk ubora wake
![]()
![]()
![]()
.....
Kanisani wanahakiki sadaka kwani nako kuna sadaka hewaMkuu sijawahi kumkataza ...na huwa kila siku za ibada anachelewaa kurudi eti mlimpa kitengo cha kusafisha mazabau na kuhakiki sadaka
UsiofuuuInaitwa changamsha ubongo mkuu ila kama nimewakosea tusamehane
UkomeeeInaitwa changamsha ubongo mkuu ila kama nimewakosea tusamehane
kakanyage salama mama ulete mrejesho kua ulikanyaga ukaanguka au ulikanyaga ukajilazaKukanyaga mafuta
Kwani sakayo kamfaidijeanifaidi wapiii mm
DuuhBaby si amesema ni mndali
we baba paroko huyo ndio roho ya shunie ujueHaahahahhaahha kumbeee huyu ndiyo mpiga vita wangu anataka kanisa langu lianguke, kwanini anakukataza usije kqwnye ibada, ngoja kuna jambo nitaliweka sawa
Kweliìi kabisaaaHehehe
ndio mla viporo anapika anaweka kwenye friji anakula week nzima![]()
![]()
kafanyajee
YawezeanaKanisani wanahakiki sadaka kwani nako kuna sadaka hewa