Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kongoro mhmhhh basi utakua unatumika sana mpaka joint za kwenye goti cartilage zimekwisha still you under 18 tutakupoteza wakati taifa linajengwa nguvu kazi vijana kama wewe
Mkuu sio kutumika mi mkulima kwa hiyo huwa nikija mjini napenda kupata supu ya kongoro kidogo inanifanya nikirudi shambani niwe na nguvu zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom