Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
hiv si uachane nae mtto utajadiliana nae nn ata ubwabwa wa shingoni haujamtokaUnajua nakuheshimu sana
Tabia ya kujisingizia uvulana sio nzuri
Amejibu, tazama post teh teh teh nimemkuza kiimani acha nile matunda yangu lee empire,Akijib nitag
Kama zipi mkuuUnajikoseshaa fursa
Jamniiii jamaaaniii si yameisha Jana jioniiibaba paroko bora umekuja huyo anaeitwa lee empire ni hubby wangu hatak kunisamehe jamaan
Nimelipenda hilo jibuNavojua hakuna mbabe kwa mwanamke
NakushangaaUvulana ni hatari
late night tena ni maombi hayoUje nakukaribisha sana na hivi nimekumiss muumini wangu, si unajua muda mzuri wa maombi ni late night pale utulivu unapotanda
Mafuta ya upako jamaniWeee si waliyakatazaaa??
Au ya magendoo
hiv si uachane nae mtto utajadiliana nae nn ata ubwabwa wa shingoni haujamtoka

mm sio mange kimambiOngea na muumini wako shunie vizuri nahisi kiporo cha tangu juzi kipo mkuu
Kongoro mhmhhh basi utakua unatumika sana mpaka joint za kwenye goti cartilage zimekwisha still you under 18 tutakupoteza wakati taifa linajengwa nguvu kazi vijana kama weweMkuu viporo situmii hapa najianda kwenda kupata kongoro la ng'ombe
Vipii muumini wako shunie hujamfaidii ??Amejibu, tazama post teh teh teh nimemkuza kiimani acha nile matunda yangu lee empire,
kwako sijiiiHahahaha mtukutu wewe, ibada za jana sijakuona, mwambie mume wako sio tabua njema kukataza kuja Church
Mbona una hasira za mapema shunie paroko hajakuombeahiv si uachane nae mtto utajadiliana nae nn ata ubwabwa wa shingoni haujamtoka
kanisani kwake siendiAkijib nitag
Hahahahiv si uachane nae mtto utajadiliana nae nn ata ubwabwa wa shingoni haujamtoka
Etii na wewe unaendagalate night tena ni maombi hayo