Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu viporo situmii hapa najianda kwenda kupata kongoro la ng'ombeKama kawa chief, lete habari, viporo vya jana vimebaki tugonge na chai
Mkuu viporo situmii hapa najianda kwenda kupata kongoro la ng'ombeKama kawa chief, lete habari, viporo vya jana vimebaki tugonge na chai
Akijib nitagHahahaha mtukutu wewe, ibada za jana sijakuona, mwambie mume wako sio tabua njema kukataza kuja Church
HahahaUje nakukaribisha sana na hivi nimekumiss muumini wangu, si unajua muda mzuri wa maombi ni late night pale utulivu unapotanda
Umemaliza bashite level auSio kufunga shule nimehitimu
Mkuu usijali mi kibabu cha miaka ya kutosha ila swali la shunie lilikuwa gumu kulijibuUnajua nakuheshimu sana
Tabia ya kujisingizia uvulana sio nzuri
Mugabe ni mbabe yani huyu mdingi huwa najiuliza huyo mwanamke anayeishi na huyu dictator mahiri wanaishi maisha gani sijui, sina picha natamani nipate pichaHuyo ni kiongozi wa Maisha.
Unautamani uvulana auMkuu unanifukuzia wapi tena
muulize stunter nilikutana nae jlw anamwambia stunter sijui ampe nn nikamwambia kweli nimeamini mapenzi yameishaHusna yuko wapi

Anataka kunipaka mafuta![]()
![]()
![]()
unataka kumpa maji ya baraka
baba paroko bora umekuja huyo anaeitwa lee empire ni hubby wangu hatak kunisamehe jamaanNyie waumini wangu wewe na Sakayo mna visiri sana, msije mkatoa siri za kanisa langu,
Unajikoseshaa fursaMkuu usijali mi kibabu cha miaka ya kutosha ila swali la shunie lilikuwa gumu kulijibu
najuaHuyu ukitaka kumpata kuleee jukwa pendwa
Hahahahahahha zile simu acha tu
kweli ni raisi wa maishaTayari yupo kwenye umri ambao kifo hakiepukiki hivyo siku yoyote ataingizwa kwenye sanduku na kutupwa shimoni ndo utakuwa mwisho wa utawala wake Zimbabwe
Hii inaitwa Rais wa Maisha
.....
Sikumbuki sana kama ni bashite levelUmemaliza bashite level au
Navojua hakuna mbabe kwa mwanamkeMugabe ni mbabe yani huyu mdingi huwa najiuliza huyo mwanamke anayeishi na huyu dictator mahiri wanaishi maisha gani sijui, sina picha natamani nipate picha
Hahahamuulize stunter nilikutana nae jlw anamwambia stunter sijui ampe nn nikamwambia kweli nimeamini mapenzi yameisha
stunter akanijib mbwa kala mbwa![]()
Maombi ni muhimubaba paroko bora umekuja huyo anaeitwa lee empire ni hubby wangu hatak kunisamehe jamaan
Uvulana ni hatariUnautamani uvulana au