Makapuku Forum

Hana uwezo wa kupiga kutokea NK mpaka USA

Atakachofanya labda atume nyambiz zisizoonekana kwenda California ili ashambulie km alivyofanya Japan kipind kile
Kwahiyo USA pekee ndo anayo hiyo teknolojia?
Tupunguze kuwapa vichwa Wamarekani kwa kila kitu...tukubali hii siyo enzi ya ujima kwamba wao pekee ni wajuzi wa kila kitu
....
 
Wazo jema mkuu naunga mkono
 
Ni wazo zuri
Nafikiri kila mtu kapata taarifa ya huo msiba
Anayetaka kumchangia anaweza kumfuata muhusika PM na akamchangia au km mwenyewe akipenda aweke # yake wazi

Nashauri tusiongee sana kiukweli hakuna asiyejua uchungu wa kufiwa na hauwezi kuthaminidhwa na chochote.....
...........
 
Umeongea vyema mkuu
 
Poa mkuu asante kwa ushauri wako
 
Kwahiyo USA pekee ndo anayo hiyo teknolojia?
Tupunguze kuwapa vichwa Wamarekani kwa kila kitu...tukubali hii siyo enzi ya ujima kwamba wao pekee na wajuzi wa kila kitu
....
Na kama us pekee ndiye mwenye hiyo technology basi amchokoze N. Korea tuone!!!.....us mpuuzi sana!!!

Us alipiga Iraq na Libya 7bu wao walikuwa wananunua silaha now anaenda kupigana na anaetengeneza silaha mwenyewe!!!
 
1961 - Bay of Pigs Invasion: Kundi la Wacuba waliokuwa uhamishoni linaingia ndani ya Bay of Pigs kwa ajili ya kumuondoa Fidel Castro.

Kundi hilo lililokuwa linafadhiliwa na na kufundishwa na CIA lilichemsha katika operesheni hiyo.
 
Hakika mkuu,inaumiza tumuombee sana mwenzetu,na waliokaribu basi wapate hata muda washiriki.sina uhakika kama ameshaondoka Dar es salaam.wacha tusubiri tufahamu taratibu ili kwa wanaoweza wasogee kumuona.wakati michango inaendelea.
 
shikamoo pole kwa maumivu ya jana ndio mpira hahaah
 
Mkorea atashambulia Us kama Us atafanya attack..lakini Us ana jeuri ya Anti-missile system.

Sijui kama AMS za Us zinaweza kudetect missiles zote za Mkorea
Na itakuwa tamu kama Korea atakuwa na kitu chake advanced kumpita us kikapiga hapo Calfornia

Hivi hizo AMS zikitungua eg. Atomic missile kunakuwa hamna madhara?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…