Makapuku Forum

Wengi tunawajua waTuareg kama kabila linalopigana kujitenga katika nchi ya Mali, walichukua sehemu kubwa sana ya Mali na kutangaza kujitenga. Hili sio la kujadili muda huu.

Hapa namleta mkung'uta gitaa maarufu kutoka pande hizi Omar al- Moctar almaarufu Bambino, huyu ni maarufu duniani hasa kwa muziki wake wa kiharakati.

Hapa muone akicharaza gitaa kwa umahiri kiasi cha kufananishwa na Jimi Hendrix.

Hii ni video ya YouTube, akiwa ameruhusiwa na Sultan kuperform.

Kuna 'shehe' mmoja namfananisha na ustaadhi Nyundo wa Rufiji/Kibiti

 
Thanks

Although it's my son's birthday also
 
Bravo mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…