Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sijapenda kabisa ...ila anyway yaisheenisamehe
Sijapenda kabisa ...ila anyway yaisheenisamehe
kwahiyo si kweliJokes
Kwenye jukwaa la utani kule, kuna huo uzikwahiyo si kweli
jukwaa la jokes sijawahi kuweka kambiKwenye jukwaa la utani kule, kuna huo uzi
Kuna mabest kibao hata baba paroko tulijuana kule
Kaka ako Leo hajaonekana ...au pasaka na shedede kapoteaHuyu Mandali ni mvaa suti au, naona likes zake tuu...
Yeye simuoni
Nipo mkuu usijaliHuyu Mandali ni mvaa suti au, naona likes zake tuu...
Yeye simuoni
Huyu anapajuaa sema anakuvuruga tuuKwenye jukwaa la utani kule, kuna huo uzi
Kuna mabest kibao hata baba paroko tulijuana kule
shedede alitagiwa na mukongo love connect kwa mdada anaetafuta mchumbaKaka ako Leo hajaonekana ...au pasaka na shedede kapotea
Mndali za kwakoNipo mkuu usijali
Habari ya pasaka mkuu Leo nipo nafutilia tu mijadala unayo endelea hapa makapukuHuyu Mandali ni mvaa suti au, naona likes zake tuu...
Yeye simuoni
Njema mkuu za pasakaMndali za kwako
jukwaa la jokes sina kumbukumbu kama nilishapita ndio mana sikumbukiHuyu anapajuaa sema anakuvuruga tuu
Ooohjukwaa la jokes sijawahi kuweka kambi
shedede alitagiwa na mukongo love connect kwa mdada anaetafuta mchumba

hapo sawaOooh
Ni black women, ukhuty, aisha na Emyta.. Wengine nimewasahau
Kaka nae sijui nani kamfichaKaka ako Leo hajaonekana ...au pasaka na shedede kapotea
safi sana za vipi wwNjema mkuu za pasaka
Heri ya pasakaNipo mkuu usijali
AiseeHuyu anapajuaa sema anakuvuruga tuu