Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Poa ngoja nimchekijana alikuwepo sana labda leo sijaingia sana kule kwahiyo sijui mfate pm
Poa ngoja nimchekijana alikuwepo sana labda leo sijaingia sana kule kwahiyo sijui mfate pm
Leo nimemuona mbonaNimejaribu kumcheki sijamwona karibu siku ya pili
Labda ni uvivu wangu wa kumtafuta maana mi kila nikiangalia nikawa simwoniLeo nimemuona mbona
Tumemiss muziki mzuri
BTW Pasaka njema
Binamu nakusalimia tuMdau Nyagei , nilitingwa na mambo ya bundle but hakijaharibika kitu, nyuzi za gitaa ni tamu japo ninajua wengi si shabiki wazo.
Heri ya Pasaka.
Usiku huu nitamtupia guitarist moja mwenye Uarabu wa jangwani wakimuita Hendrix wa Jangwani
Yupo ni wewe tuuLabda ni uvivu wangu wa kumtafuta maana mi kila nikiangalia nikawa simwoni
Binamu nakusalimia tu
Na wewe pia mama.muwe na usiku mwema panapo mapenzi ya Mungu tutaonana kesho
mlindwe na damu ya Yesu![]()
Sawa mkuu nitamcheki keshoYupo ni wewe tuu
muwe na usiku mwema panapo mapenzi ya Mungu tutaonana kesho
mlindwe na damu ya Yesu![]()
kesho n mapumziko binamuUsiku mwema
Kesho ni mapumziko au?
nimechoka sana dada macho sio yanguNa wewe pia mama.
Mbona mapema
namshkuru Mungu binamu imeenda vizuri sijui kwa upande wakoHujui tu salamu yako ina maana gani kwangu auntie mke wa mjomba wangu lee empire . Hoping Pasaka imekuwa poa kwako
Nawe pia mkuu mungu akupe ulinzi wake ukulindemuwe na usiku mwema panapo mapenzi ya Mungu tutaonana kesho
mlindwe na damu ya Yesu![]()
Ameen mndaliNawe pia mkuu mungu akupe ulinzi wake ukulinde
Ameen mndali

namshkuru Mungu binamu imeenda vizuri sijui kwa upande wako
Ni kweliiiHapana mkuu kuna wakati inabidi uandalie na wenzako wanapendelea kujadili nini na ujifunze baadhi ya vitu kutoka kwao
nimechoka sana dada macho sio yangu