lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Tayari kimoja.Nipe matokeo basi
Huyu sijui katoka wap
Jimena..umemwona!Kapuku street😀
Hahahahah![]()
![]()
![]()
ndi ndi ndi
Sifai kuolewaMsamehe bure! Ati haufai kufanyajeeeee....hajui ka mume yuko humu humu.
Tamaa hizi watakuja tamani majini
utafikiri amewahi kuishi na mm. Yeah watamani majini mwishoe waambulie kifoJimena..umemwona!
Ndi ndi ndi ni mimba au![]()
![]()
baby hebu ngoja kwanza maana hii ndi ndi ndi!
Ya mtaa wenu au![]()
Asante sanaTayari kimoja.
Mpotezee tu baby. Napenda kukuona unafurahi siku zote
Unahitaji maombi!Wewe unastahili kuwacha wazazi wako uungane na mtu baki mkaoneze dunia huko, ila kama kasura kenyewe in real ndo uko hivyo nakuombea uzao wa mabinti kama dazeni moja kwa matumizi ya kutoa megu ili kizazi chako kidumu!
Mkuu hii ni lugha ya kuudhi omba msamaha
Anajaribu kuniudhi, hataweza. Nilivyo ndi ndi ndiMpotezee tu baby. Napenda kukuona unafurahi siku zote

Kushiba chakulaNdi ndi ndi ni mimba au
Acha uongo kijanaNiko nae hapa tunakula moisture tu