Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Bado hajaolewa, huyu bwana mdogo anachunwa tu kwa muda.Avatar yako imenifanya nikutamani ghafla...kuna watu hamsatahili kuolewa kabisa kwa kuwa ni mapambo ya mtaa!
Ile ndoa yao shida nin?
Bado hajaolewa, huyu bwana mdogo anachunwa tu kwa muda.Avatar yako imenifanya nikutamani ghafla...kuna watu hamsatahili kuolewa kabisa kwa kuwa ni mapambo ya mtaa!
Ile ndoa yao shida nin?
Sielew shemIle ndoa yao shida nin?
Uwe mpole, akija umhoji yawezekana ameporwa cm au kapigwa na vibaka, ikiwa hatakuwa na reasonable reason ndipo wacheMimi hata sijui mkuu anajua mwenyewe,simtaki tena.
Kwanza wewe ndiye umeleta shida kwenye ndoa yetu.Ile ndoa yao shida nin?
Kwangu mpenzi wangu hapana kijana. Siwezi mfanyio hivyoNimekuomba kwa upole sana mkuu, kuwa na huruma tafadhali.
Utasikia baby hebu ninyanyue.
Nitakujibu honey tumeshiba ndi ndi ndi! Hivi hata kujisogeza siwezi hahahah
kushiba ndi ndi ndi ni hatari bae. Kama hapa nataka uninyanyueNilisema!, leo lazima maji mtaita mma.Acha roho mbaya
Huyu sijui katoka wapKapuku street😀
Hapana mkuu mimi ni mtu mpya yakale yalipitaKwanza wewe ndiye umeleta shida kwenye ndoa yetu.
![]()
![]()
![]()
kushiba ndi ndi ndi ni hatari bae. Kama hapa nataka uninyanyue
baby hebu ngoja kwanza maana hii ndi ndi ndi!Mkuu mimi nimecchoka kusubiri.Uwe mpole, akija umhoji yawezekana ameporwa cm au kapigwa na vibaka, ikiwa hatakuwa na reasonable reason ndipo wache
![]()
![]()
baby hebu ngoja kwanza maana hii ndi ndi ndi!
unanifanya nicheke sanaNipe matokeo basiNilisema!, leo lazima maji mtaita mma.
Mkuu hii ni lugha ya kuudhi omba msamahaAvatar yako imenifanya nikutamani ghafla...kuna watu hamsatahili kuolewa kabisa kwa kuwa ni mapambo ya mtaa!
Unamaanisha,uchawi umeacha.!!Hapana mkuu mimi ni mtu mpya yakale yalipita