lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Tabasamu lako ndo furaha yangu love.Umenichekesha my love
Natamani jinsi mnavyopeana mapendo.Kwann?
Shem yuko wapi mkuuNiachie basi mke wako hata siku moja mkuu,tafadhali sana.
Nakuombea upate wa kukupa mapendoNatamani jinsi mnavyopeana mapendo.
Heshima muhimu kijana. Chunga mdomo wakoNiachie basi mke wako hata siku moja mkuu,tafadhali sana.
Safi sana.![]()
![]()
Mwarabu 1
Yanga 0
.................
Mbona balaa tena![]()
![]()
Mwarabu 1
Yanga 0
.................
Hahahaaa tukiwa ndi ndi ndiTabasamu lako ndo furaha yangu love.
Tunakula tunashiba mpaka tunaangalia sasa hahahah
Mimi hata sijui mkuu anajua mwenyewe,simtaki tena.Shem yuko wapi mkuu
Hahahaha. Ndio hata kuaogea tunashindwa asikwambie MTU hahah kitu ndi ndi ndi!Hahahaaa tukiwa ndi ndi ndi
Wenzetu mnafurahi sana,sisi mapenzi yetu kama ya kuku ni kufukuzana tu.Nakuombea upate wa kukupa mapendo
Nakuombea upate wa kukupa mapendo
Ile ndoa yao shida nin?Nakuombea upate wa kukupa mapendo
Ndi ndi ndiHahahaha. Ndio hata kuaogea tunashindwa asikwambie MTU hahah kitu ndi ndi ndi!

Acha roho mbayaSafi sana.
Nimekuomba kwa upole sana mkuu, kuwa na huruma tafadhali.Heshima muhimu kijana. Chunga mdomo wako
Ya mtaa wenu auAvatar yako imenifanya nikutamani ghafla...kuna watu hamsatahili kuolewa kabisa kwa kuwa ni mapambo ya mtaa!

Hahahaa kwa sababu mlipatana kikuku kukuWenzetu mnafurahi sana,sisi mapenzi yetu kama ya kuku ni kufukuzana tu.
Utasikia baby hebu ninyanyue.Ndi ndi ndi![]()
![]()
![]()
![]()