Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Unahitaji maombi!
Mkuu please fanya kuniombea ili pepo lililonijia juu yako liendelee kunikaa milele amina ili hata nikiwa kazini nikuwaze tu wewe!
Unahitaji maombi!
Leo hurembui?Wakuu naona macho yangu hayanipi kabisa ushirikiano hapa.
Ashindwe na alegeeUnahitaji maombi!
Ndi ndi ndi!Anajaribu kuniudhi, hataweza. Nilivyo ndi ndi ndi![]()
Mpaka upate uchiziMkuu please fanya kuniombea ili pepo lililonijia juu yako liendelee kunikaa milele amina ili hata nikiwa kazini nikuwaze tu wewe!
Mke wa mtu mwingine bhanaKutamani ni lugha ya maudhi?
Kwani hujui watu wanapendana baada ya kutamaniana?
Yani hapa narembua kinoma.Leo hurembui?
OyeeeeePIGA KELELEEEEE
Nakuletea wanjaYani hapa narembua kinoma.
Linaaga auBaba lao View attachment 341188
YatoeWakuu naona macho yangu hayanipi kabisa ushirikiano hapa.
Na udiNakuletea wanja
Paka na wanjaYani hapa narembua kinoma.
Na mascaraNa udi