Amina amina sasa kutakua na semina za wanandoa usikose, mapepo wachafu, majini mahaba kama limekuingia litakemewa, kama mpenzi wako hakufikishi au humfikishi basi jiandae kumfikisha na kufikishwa kileleni
Naonyeshwa hapo kazini kwenu kuna mdada mmoja hivi, ameweka kitu kwenye kiti chako unachokalia ili usipandishwe cheo, njoo kanisani nitakemea in Jesus name na yatamrudia yeye mwenyewe