Makapuku Forum

haahhh nilijua tu hapo kwenye sadaka ndio sehem yako
kwahyo unajiandaa kwenda viti virefu
Muumini asiependa kutoa sadaka simtaki, bila sadaka vitu vingi vinakwama, ila leo sio haba, sasa kwakua sister maria huwa unasaidia shughuli za kanisa, Mpo wapi wewe na Sakayo niwapitie angalau tukagonge mvinyo, sio mbaya siku moja moja kugonga vyomba na baba yako wa kiroho ,
 
Asante baba paroko
Mie sio muumini wa mvinyo
 
hahahhh ndio mana sipendi kutoa sadaka kanisani kwako mwisho wa siku zinaishia kwenye viti virefu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…