BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tuko poaMko poa wakuu
Tuko poaMko poa wakuu
Alafuu unataka unigombanishee na marafiki zangu wa darhahahhh wakina nan utasema wanaume wa dar

Yaaan ndio mboga yetu hiyo tanga ndio home dear
I Love this ,ugali wa muhogo na migebuka ..asante
Teh teh tehsasa hio n nyimbo ya kupigwa kwenye harusi hainaga ushemejj
hahahhh yanaliwa na kila kituAyo mananiii yenuu yanaliwa na magimbi kwani??
Ndio shemSamahani naomba kuuliza
Migebuka anapevuka kama samaki na ndio hao?![]()
Toka hapaKwani unafikiri atasema nini cha ziada ??
nipo poa za wwWe kabinti uko poa?
Nimefurahi kufaham hilo best yetu maana namimi tanga pia nyumbaniYaaan ndio mboga yetu hiyo tanga ndio home dear
anayajua ata kwenye chips ukinunua utakutana nayo
Amenkwa nn mchochezi hivyo Mungu hapendi ujue
Ndio shem
Mmmmmmh siaminihahahhh yanaliwa na kila kitu
HayupoUchochez wangu upiii
Tumemmis
Ndio mara yangu ya kwanza kuwaona hua nawasikia tu shem asate and be blessedNdio shem
me nimesema tu ulikua unamaanisha hivyoAlafuu unataka unigombanishee na marafiki zangu wa dar
![]()
![]()
![]()
Mbona kibichi
Tom & jerry mbona huwaweki tenaTuko poa