Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
bado upo kwenye makeleleNi sheeda
bado upo kwenye makeleleNi sheeda
hahahhahMwambie tunataka kucheza singeri
Hapana mamybado upo kwenye makelele
mbona ulikua haupatikanik halaf ujue we ni mchochezi nimeenda kuchungulia kule nikakukutaHapana mamy
Hahahambona ulikua haupatikanik halaf ujue we ni mchochezi nimeenda kuchungulia kule nikakukuta
Amen nawe piaSikukuu njema kwa wote
nimekuona dada napaogopa sana kuleHahaha
Nilikuwa na espy bhana
Amen,ubarikiwe Shunieheri ya pasaka wapenzi, mbarikiwe sana sana![]()
AsantePilau njema wandugu...
Pombe na sigara ni hatari kwa afya.
Uroho na urafi ni machukizo mbele za Mungu, kuleni kistaarabu mkifuata kanuni zote za ulaji wa pilau..
Nawakaribisha wali na madafu hapa..
Hahahanimekuona dada napaogopa sana kule
Unatutakia wakati wewe umeishashibaaheri ya pasaka wapenzi, mbarikiwe sana sana![]()

Asante mremboheri ya pasaka wapenzi, mbarikiwe sana sana![]()
Bravo1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa.
Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza.
Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza.
Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin.
asante mama mchuchu ubarikiwe na ww piaAmen,ubarikiwe Shunie
Ubarikiwe na wewe mdogo wanguheri ya pasaka wapenzi, mbarikiwe sana sana![]()
Weka pichaPilau njema wandugu...
Pombe na sigara ni hatari kwa afya.
Uroho na urafi ni machukizo mbele za Mungu, kuleni kistaarabu mkifuata kanuni zote za ulaji wa pilau..
Nawakaribisha wali na madafu hapa..
teh teh kuwatuma kufanyaje dadaHahaha
Kwa nini waogopa, kwani we ndo uliwatuma??!
African stand up
Ndo atajua manfongo alimanishaahahahhah
Ameen loveUbarikiwe na wewe mdogo wangu
