Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,401 Leo Katika Historia: 1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,402 1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa. Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza. Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza. Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin.
1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa. Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza. Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza. Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,403 1907 - Joseph Armand Bombardier anazaliwa. Mfanyabiashara kutoka nchini Canada na mwanzilishi wa kampuni ya ndege ya Bombardier.
1907 - Joseph Armand Bombardier anazaliwa. Mfanyabiashara kutoka nchini Canada na mwanzilishi wa kampuni ya ndege ya Bombardier.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,404 1927 - Papa Benedicto wa 16 anazaliwa.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,405 1960 - Rafael Benitez anazaliwa. Kocha wa zamani wa Liverpool, Real Madrid, Inter Milan na sasa Newcastle United.
1960 - Rafael Benitez anazaliwa. Kocha wa zamani wa Liverpool, Real Madrid, Inter Milan na sasa Newcastle United.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,408 1973 - Akon anazaliwa. Mwanamuziki wa Kimarekani mwenye asili ya Senegal.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,409 1986 - Shinji Okazaki anazaliwa. Straika wa Leicester City na timu ya taifa ya Japan.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,410 1987 - Aaron Lennon anazaliwa. Winga wa zamani wa Spurs ambaye kwasasa anakipiga Everton.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Apr 16, 2017 #165,411 Happy Easter kapukuz
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,412 - Edo Kumwembe anazaliwa. Mchambuzi mahiri wa soka nchini Tanzania.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 16, 2017 #165,413 Mussolin5 said: Leo Katika Historia: 1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa. Click to expand... Ni kongwe na yenye mashabiki wengi jijini Manchester kuliko Man Utd pia ni timu ya jiji...ni km Mbeya City na Prison Man Utd ina mashabiki wengi worldwide .....
Mussolin5 said: Leo Katika Historia: 1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa. Click to expand... Ni kongwe na yenye mashabiki wengi jijini Manchester kuliko Man Utd pia ni timu ya jiji...ni km Mbeya City na Prison Man Utd ina mashabiki wengi worldwide .....
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,414 Leo katika Historia: Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 16, 2017 #165,415 Valentina said: Happy Easter kapukuz Click to expand... Asantez .... Karibuz
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 16, 2017 #165,416 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla. Click to expand... Asantee mkuu ...ubarikiweee Vipi lakini mkeka ulichanganya ??? Mimi nillipita mlemle for 86%
Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla. Click to expand... Asantee mkuu ...ubarikiweee Vipi lakini mkeka ulichanganya ??? Mimi nillipita mlemle for 86%
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 16, 2017 #165,417 Mussolin5 said: 1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa. Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza. Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza. Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin. Click to expand... Mr Bean haoni ndani Jina lake ndo chimbuko la watu wanaochekesha kuitwa Machalechale .....
Mussolin5 said: 1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa. Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza. Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza. Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin. Click to expand... Mr Bean haoni ndani Jina lake ndo chimbuko la watu wanaochekesha kuitwa Machalechale .....
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 16, 2017 #165,418 Bitoz said: Mr Bean haoni ndani Jina lake ndo chimbuko la watu wanaochekesha kuitwa Machalechale ..... Click to expand...
Bitoz said: Mr Bean haoni ndani Jina lake ndo chimbuko la watu wanaochekesha kuitwa Machalechale ..... Click to expand...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 16, 2017 #165,419 lee empire said: Asantee mkuu ...ubarikiweee Vipi lakini mkeka ulichanganya ??? Mimi nillipita mlemle for 86% Click to expand... Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana.
lee empire said: Asantee mkuu ...ubarikiweee Vipi lakini mkeka ulichanganya ??? Mimi nillipita mlemle for 86% Click to expand... Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 16, 2017 #165,420 Mussolin5 said: Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana. Click to expand... Imani yako imekuponya mkuu ....
Mussolin5 said: Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana. Click to expand... Imani yako imekuponya mkuu ....