Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Kwasababu mumesindwa andamana basi fungeni na kufanya maombi PapaaHatuna amani tunatekwa kama tumekuwa bidhaa kwa watekaji mutu ya baba
Ndio najiandaa kuelekeaMambo ni bam bam
Huendi mkesha weye?
[emoji15] [emoji15] unataka KUWOWA???Jamani mkimuona mwanamke yyte anatangaza mchumba sehemu yyte humu jf mnitag
Unapotea sana huwa wanakuja humuJamani mkimuona mwanamke yyte anatangaza mchumba sehemu yyte humu jf mnitag
hahahhaha nenda love connect utapataJamani mkimuona mwanamke yyte anatangaza mchumba sehemu yyte humu jf mnitag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora avizie tu
Hata maombi wanaogopa wanahisi watavamiwaKwasababu mumesindwa andamana basi fungeni na kufanya maombi Papaa
hahahhahah[emoji15] [emoji15] unataka KUWOWA???
[emoji2] [emoji2]Unapotea sana huwa wanakuja humu
Wakitaka kuondoka nawaruhusu maana hakuna mwindaji kwa sasa
Mmeo maendeleo vipMrejesho gani tena
HajamboMmeo maendeleo vip
Tupooo mkuuWaungwana habari ya saa hizi?
Ngoja niwahihahahhaha nenda love connect utapata
ila kuwa makini naskia kuna majoka hukoNgoja niwahi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamani mkimuona mwanamke yyte anatangaza mchumba sehemu yyte humu jf mnitag
Yanaendelea karibuNipo sema majukum yanabana ila saiv nipo vip maandaliz ya pasaka
Sichelewi mimi nishatengeneze uzi tayar nenda ukaoneila kuwa makini naskia kuna majoka huko
kuna majike dume
ukipata mlete huku tumjue [emoji23]
Shunie kuna bahasha yakoila kuwa makini naskia kuna majoka huko
kuna majike dume
ukipata mlete huku tumjue [emoji23]