Makapuku Forum

Mi sina muda wa kujibizana nao....kitu vizuri zinajulikana wala hakihitaji promo

Halafu kwani kuna sheria ya JF kuhusu utoaji wa likes

Halafu hivi vijamaa vinachoanza na herufu "D" na "U" ni vipuuzi ....hawa ndo wanasoma nondo zetu humu kila siku zen hujifanya kuponda km vipi waanzishe thread wanayoiona ni ya maana halafu na wao wajaziane likes ht milioni moja
Kwani tatizo nini?

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/20637726
Snitch
........

.....
 
Niliwapitia asubuh ...wengi wanakuja kutuchungulia na kumezesha wengine sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…