BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pole sana mkuu ni kweli apangalo Mungu huwa,Mungu anaruhusu ili tuweze kumfahamu na kumheshimu siku zote za maisha yetu,hatujui siku wala saa ambayo atatuita hatujui umri tutakaokua nao tunapaswa kuwa tayari kiroho na hata wenzetu wanapotangulia tufahamu kuwa hata sisi tutafuata lini ni siri yake Mungu ,kifo gani Mungu anajua ..tujiweke tayari na kuwaombea wenzetu waliotangulia japo namna vifo vinavyotokea vingi vingeweza zuilikaKifo hakina umri
Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja
...
MmmmhUshapigwaaa ??
AmeenMungu awalaze pema
Aiseesijawahi na sitawahi
Napaonaa ufundiii
shangaa wwAisee
mengine kaa nayo moyoni dada ndio hivyoMmmmh
Kifo cha ghafla ndo kizuri kwa marehemu maana haupati msoto sana....Mimi ndo chaguo langu km ingekuwa tunachaguaHakina umri ndio ila kuna kifo ambacho kinaumiza zaidi ya tunavyofikiri...
Mtu sio mgonjwa, kaenda kazini halafu mnaletewa marehemu!!!
Aiseee mm ninavyoogopa hata sijui changu kitakuaa cha vipi Mungu anisaidie tuKifo cha ghafla ndo kizuri kwa marehemu maana haupati msoto sana....Mimi ndo chaguo langu km ingekuwa tunachagua
Kifo cha kuumwa ni kibaya kwa marehemu nafikiri km umewahi kulazwa unafahamu jinsi mtu unavyootaota ndoto za ajabu na stress za kufa mtu pia watu kuuguza wanakuchoka maanaunawapotezea fedha na muda japo hawawezi sema na hata ukifa moyoni huwa wanafurahi umewapunguzia mzigo
......
Yes very true
Au akafanyie mazoezi ya mme mwema anatoka kwa bwanaumeshambiwa usubili singeri ya manfongo
Mi nimewahi kulazwa siku 10 nilikuwa na Malaria 20+ aisee siku 1 wodini niliiona ndefu km wiki kitaaAiseee mm ninavyoogopa hata sijui changu kitakuaa cha vipi Mungu anisaidie tu
Ata cha mgambo wa jijisijawahi na sitawahi
pole sana kwa ulivyoumwaMi nimewahi kulazwa siku 10 nilikuwa na Malaria 20+ aisee siku 1 wodini niliiona ndefu km wiki kitaa
Mara mgonjwa huyu afe, usiku ndoto mbaya za kufa MTU, yaani stress na mawazo ya kufakufa tu
Ukweli kuugua sio kufa ila chamoto utakiona maana hakuna asiyejua ugonjwa ni chanzo cha vifo
....
sawa tumekisikiaAu akafanyie mazoezi ya mme mwema anatoka kwa bwana
ata cha mjeshi pia sijawahjAta cha mgambo wa jiji
Hivi wanaimbaga mume mwema au mke mwemaa??sawa tumekisikia