Kama uliwapatia ya waterboarding basi kazi kwishaHahahaaa! Waterboarding?
Sasa kama sio unadhani ningekuwa nimetoka...!
Nimewafanya vibaya sana wale jamaa...tatizo hawatatangaza sasa
Baby mruhusu mdogo wako akanikague naona anakomaliaWe ni mchochezi
Muombe dada ruhusa unikague..na Roma aliimbaga lete mjeda na akawa mpole hatutaki yajirudie itabidi ukaguliwe tu ata kilazima
kwahiyo unaniona mm mchochezi kweli mapenzi yana nguvu sanaAcha hizo bhana
haahhahahWe ni mchochezi
Uko bomba joohTwende sawa mkuu ...
Tukianza na mechi ya mapema kiukweli spurs naona anashinda tena magoli zaidi ya mawil ...Bournemouth nahisi hana presha kiburi cha point 7 kinamsumbua kutoshuka
west brom na liver kiukweli naiona droo tena sio ya mabao mengi k abisaaa
kule kwa Middlesbrough na arsenoo mpe asernal make lazima wachezaji wafanye kitu presha hiko juu tena anaweza kushinda kwa bao kuanzia 3 ...japo lazima aruhusu japo ata moja
crystal palace nawacheki kwa jicho la tatu mkuu hawarembi siku hizi na the fox lazima wakipate ....Leicester kuchapwa mabao kama mawili itakuwa kawaida Leo ....muuue fox mkuu
Sunderland na west Ham sioni kipya zaidi ya moyez Leo kupata point tatu ..ata moja itamtoshaaa...
stock na hully city ...usifanye kosa lazima stok Leo apate kitu muhindi asikudanganye mpe stock tena 2-1
Everton Everton burnly kama kawaida lukaku na wenzake lazima washinde mbili na kuendelea sio have
Watford na Swansea sioni kipya Leo ...droo ata moja mojaa
man city usimsahau mkuuu atapata hushindi ata kama mfinyuuuu ila 2 zitafika
huyu wa mwisho ebu jifanye umemsahau man u vs Chelsea ...apa ngoma itakuwa ngumu make jossee kukubari kupigwa nje ndani so kizembe ...na Chelsea anaitafuta michezo 5 apigiwe makofi ...
Anyway changanya na yako
Roger thatHahahaa!
Sawa coin master..
umejuajeeeHakuna haja yuko fiti kabisa yeye ndio kawateka wale watekaji
Dada nakuonea huruma tupate uhakikaShunie please
Nini lakini
Nampenda sana T jamaniKama uliwapatia ya waterboarding basi kazi kwisha
Sakayo yupo mahala salama sana
hahahhaahHahaha
Mbavu zangu mie
Jana Mwigulu alikuwa live BBC swahili na alisema kuwa chanzo ni kisasi sasa sijui hao majambazi nao watajipanga vipiAaah
Wanatafuta vita hao, bora wangeua kimya kimya...
Na hawatokaa waishi kwa amani na raia kwa style hiyo waliyonayo
Wakuu naomba mniwie radhi kwenye ishu ya NUKUU ZA LEO
Na pause kwanza hadi siku ya Jumatatu...
Hii weekend tupumzike kwanza..! Jtatu tutaendelee
ww sio baby wangu siwezi kukukagua yy ndio muhusikia akukague mm nitamkagua baby wangu endapo ametekwaBaby mruhusu mdogo wako akanikague naona anakomalia
Muombe dada ruhusa unikague..
Roger thatWakuu naomba mniwie radhi kwenye ishu ya NUKUU ZA LEO
Na pause kwanza hadi siku ya Jumatatu...
Hii weekend tupumzike kwanza..! Jtatu tutaendelee
me nawaombea mfike mbali jamaan nije kucheza kwaitoNampenda sana T jamani
Mungu amtunze
Tuambizane mkuuHahahaaa! Waterboarding?
Sasa kama sio unadhani ningekuwa nimetoka...!
Nimewafanya vibaya sana wale jamaa...tatizo hawatatangaza sasa
I love you SNampenda sana T jamani
Mungu amtunze
Au ndo yale ya roma kuwa ata kuimba siweziiiNitaweka jtatu mkuu...
Usijali kamanda.