Inasemekana waliuawa Kwakua Princes alikua na ujauzito wake hawakutaka kabisa kizazi cha Malkia kipate mtoto wa kiarabu maana angekua mdogo wa wajukuu wa Malkia kwa kushare mama ...R.I.P DODI EL FAYED na PRINCES DIANA
Yanesemwa mengi lkn chanzo kikuu cha ajali kinachojulikana ni mapaparazi waliokuwa wanalifukuza gari lao ili wawapige picha za udaku...hivyo walikuwa wanawakimbia mapaparazi matokeo yake gari likapoteza mwelekeo na kugonga nguzo/mti
....
Yanesemwa mengi lkn chanzo kikuu cha ajali kinachojulikana ni mapaparazi waliokuwa wanalifukuza gari lao ili wawapige picha za udaku...hivyo walikuwa wanawakimbia mapaparazi matokeo yake gari likapoteza mwelekeo
....