THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
Kwenye nyaraka za wakoloni wakati wa kugawana makoloniWadau mawazo yenu kwa hii kitu ya Tanzania uhalari wake kumiliki sehemu ya ziwa Nyasa zaidi hapa
UKO WAPI UHALARI WA TANZANIA KUMILIKI SEHEMU YA ZIWA NYASA?!?
Kwenye nyaraka za wakoloni wakati wa kugawana makoloni
Task ya kesho hiyo kwa sasa akili inahitaji tulizo tuIngia Google map uone ziwa lote lipo kwa Malawi!!
Pumzika siku imekuwa ndefu nimeonaTask ya kesho hiyo kwa sasa akili inahitaji tulizo tu
AmenUsiku mwema Makapuku
Mungu awe nanyi
Pumzika siku imekuwa ndefu nimeona

Google haipangi mipaka ya nchi!Wadau mawazo yenu kwa hii kitu ya Tanzania uhalari wake kumiliki sehemu ya ziwa Nyasa zaidi hapa
UKO WAPI UHALARI WA TANZANIA KUMILIKI SEHEMU YA ZIWA NYASA?!?
Asante mkuu naona ule mguu wa gold unaonesha sio wa mchezoMatokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 14/4/2017
Belgium playoffs
![]()
France league 1
![]()
Di Maria akiweka kambani goli zote
Netherlands EREDIVISIE
![]()
Spain LaLiga
![]()
Uganda Premier League
![]()
Amen asante sana ubarikiweMlaleni salama familia, Mungu awalinde wote, awaepushe na hatari za Roho na mwili mkapate kulala unono awaepushe na yule mwovu katika jina lipitalo majina yote Kristo Yesu nimeomba.....Amen

Asante nawe pia barikiwaUsiku mwema wadau