Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sawa tuuLala kwa amani shem wane
Nitamwambia akifika asikusumbue kikubwa toa funguo mlangoni ili akija afungue yeye
Sawa tuuLala kwa amani shem wane
Nitamwambia akifika asikusumbue kikubwa toa funguo mlangoni ili akija afungue yeye
Mzee mkavu yupo likizo ...Nipo katibu
Mti mkavu nae vipi?
Aaah nilitaka tu kuona walau unione kama na mm nimo humu, sasa ngoja nikalale usingizi mzito mambo ya baharini kesho,

Imeanza lini?Mzee mkavu yupo likizo ...
AmenMlaleni salama familia, Mungu awalinde wote, awaepushe na hatari za Roho na mwili mkapate kulala unono awaepushe na yule mwovu katika jina lipitalo majina yote Kristo Yesu nimeomba.....Amen
Ameni na MUNGU akupe ulinzi wake na ufunikwe na damu ya yesu kristoMlaleni salama familia, Mungu awalinde wote, awaepushe na hatari za Roho na mwili mkapate kulala unono awaepushe na yule mwovu katika jina lipitalo majina yote Kristo Yesu nimeomba.....Amen
Anakaribia wikiImeanza lini?
Asante Baba mchungajiiiMlaleni salama familia, Mungu awalinde wote, awaepushe na hatari za Roho na mwili mkapate kulala unono awaepushe na yule mwovu katika jina lipitalo majina yote Kristo Yesu nimeomba.....Amen
AiseeAnakaribia wiki
Wewe hupewii likixoo??Aisee
Ndio kwanza kazi ina siku 3 tuWewe hupewii likixoo??
AhaaaaahNdio kwanza kazi ina siku 3 tu
YepiNimeona mabadiliko ya menu kwenye application ya JF
Namuona Bush junior
Muonekano mpyaYepi
NdioAhaaaaah