Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Shemu wivu mhimu ila ujue utakuwa mtumwa punguza wivu ruhusu baby wako awe huru kidogoYaan mie shem nina wivu mnoo
Shemu wivu mhimu ila ujue utakuwa mtumwa punguza wivu ruhusu baby wako awe huru kidogoYaan mie shem nina wivu mnoo
Mkuu nitakufundisha kulitaja nitakupa na maanakeNi gumu kulitaja
Huko chumbani ni hatari kwa usitawi wa familiaNakusubir chumbani pm
Daah mie domo zege sijui itakuwaje nitakapo taka kumtokeaWana watu wao nawe tafuta mwenzako mlete humu muendeleze mapenzi mubashara
SawaNimekumiss![]()
![]()
![]()
![]()
Daah nabaniwa mwezioMbona wivu mapema hivyo mkuu
Mie shemeji yako, nina mume humu Sawa eeh!!Niko poa mkuu , naona hamtaki kabisa kunikaribisha mwenzenu, nawaona mkiitana bby , Mara love halafu mm siitwi daah, waambie akina Shunie na Sakayo wasinitenge hivyo
Utakuwa unatumia mbinu za zamani jaribu kutumia mbinu za kisasaDaah nabaniwa mwezio
DuuuhMie shemeji yako, nina mume humu Sawa eeh!!
Ngoja nitajikazaUtakuwa unatumia mbinu za zamani jaribu kutumia mbinu za kisasa
Hahahahamaisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
Tunakumis zaidi mimi na Baba mchungaji tunakuombea amaniAiseee
Pimbi
Mzee mkavu
T
Sakayo
Shunie
Jux wivu
Mama na baba muchungaji
Dictator
Obe
Bitoz
Mndali
Snipes
Ukhuty ma love..
Paprika
Nimewamiss sana wakuu

Usishangae mkuu hapo kamata nje mlete hukuDuuuh
Sawa mkuuNgoja nitajikaza
Hahahaha
Hahahaha