Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria,mimi binafsi nimehudhuria msiba wa kati ya waliouwawa kuna jamaa yangu amepoteza mume wake binti mdogo tu,na amemuacha na watoto wadogo kabisa wakwanza hana hata miaka sita ,inasemekana waliimuua waliacha watu woteee na kumpiga risasi askari tu..tunalia.
.tunaomboleza
..tumebaki na mjane mtoto..kimya hakuna kinacholeta matumaini..kwakweli Mungu aingilie kati ...na hatua zichukuliwe mapema maana wameanza askari watahamia kwa raia tutakwisha , .... mtu aliyezoea kula nyama ya mtu kamwe hawezi kuacha.