Makapuku Forum

Khaaa!! Yaani humu ndani sijui hata kama huwa mnapata muda wa kula au kulala, mmh kweli nyie makapuku hakika jina hili linasadifu na yanayo endelea humu maana kila niingia naona mpo mbele thread ya 50 hv
Mchwa hawalali mkuu
 
UPDATE ZA TRANSCEND



Rais wa korea kaskazini kim jung-un akizindua wa ujenzi wa makazi huko Ryomyong katik jiji la Pyongyang.

Rais wa korea kaskazini kim jung-un alipowasili kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi huko Ryomyang jijini pyongyang leo



Eneo linalo aminika kuwa kuna majaribio ya kombora la nyuklia litafanyika jumamosi hii. Kumekuwa na shunguli ngingi sana kwa siku za hivi karibuni.


Russia wako upande wa N.korea wakipinga mashambulizi ya marekani zidi ya syria na N.korea

China wako upande wa wamarekani tayari...na baadhi ya mataifa ya Nato.

Vuguvugu linaendelea huko asia...

Muwe na weekend mubashara..

Happy Easter.
 
Duh mkuu mi nasubiria tu hii movie, naona ishara zote za ww3 zimeshaanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…